Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
ShindwaaNatamani Nigeria wapigwe.
Burudani iongezeke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShindwaaNatamani Nigeria wapigwe.
Burudani iongezeke.
WanabalaaaJamaa wana gongana sana
Ndio maana fainali za ligi ya mabingwa na shirikisho zina home and awayAfrica Jiografia yetu ngumu kidogo.
Naunga mkono hojaNdio maana fainali za ligi ya mabingwa na shirikisho zina home and away
Kazingua sanaOsimhen duh
Watajutia ileKazingua sana
Majina Makubwa wakati mungine hayana faida .Nigeria starting xiView attachment 2871553
Sana yaani na watachana mikeka yetu hawaWatajutia ile
Mimi nilitaka wapasukeWamezingua sana Hawa supa igo
Naona kashapewa tayariKipa wa Equatorial Guinea anastahili Man of The Match
😁🤣🤣Mimi nilitaka wapasuke
Kafanya mambo makubwa sana.Naona kashapewa tayari