Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #261
Hii inaharibu taswira ya mashindanoUwanja mweupe pee . Bora hata iliyopita cameroon walikuwa wanajaa jaa. Ivory Coast itakuwa njaa kali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inaharibu taswira ya mashindanoUwanja mweupe pee . Bora hata iliyopita cameroon walikuwa wanajaa jaa. Ivory Coast itakuwa njaa kali.
Sisi wenye dstv tutaangalia chanel gani?
LimerudiEquitorial Guinea wanatangulia kwa goli murua kabisa
Daah! Ila mpira bana. Yaani majamaa wameshangilia mbaya.Limerudi
Kuwafunga kina Osmeh usishangilie?Daah! Ila mpira bana. Yaani majamaa wameshangilia mbaya.
Kumbe bao linarudi fasta.
Sema hata kule Asia cup leo kati ya japan na vietnam inayofanyikia qatar uwanja ulikuwa mweupe pee. Mapenzi ya boli ni ulaya na Amerika kusini huku kwingine wanapenda mpira kwa kuangalia nani anacheza.Kwa kwelii ni aibu sanaa uwanja kuwa mtupu vile
Wakuu Geography ya Africa ni ngumu kidogo wala haina haja yakulaumu timuSema hata kule Asia cup leo kati ya japan na vietnam inayofanyikia qatar uwanja ulikuwa mweupe pee. Mapenzi ya boli ni ulaya na Amerika kusini huku kwingine wanapenda mpira kwa kuangalia nani anacheza.
Unataka kusema hawakutarajia?Kuwafunga kina Osmeh usishangilie?