2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Sema hata kule Asia cup leo kati ya japan na vietnam inayofanyikia qatar uwanja ulikuwa mweupe pee. Mapenzi ya boli ni ulaya na Amerika kusini huku kwingine wanapenda mpira kwa kuangalia nani anacheza.
Wakuu Geography ya Africa ni ngumu kidogo wala haina haja yakulaumu timu
 
Back
Top Bottom