2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Vipaji vipo ila hatuna utaratibu wa kuviweka katka misingi ya baadae, tunachotka ni matokeo leo leo.
Mfano: Angalia mechi moja wapo ya mataifa ya Africa magharibu, utasikia mchezaji anatokea academy flani kila mchezaji.
Ni nchi chache tu zenye academy za kueleweka kama asec ya Ivory Coast. Wachezaji wengine wanatokea kwenye mpira wa mchangani kwenye ligi za ndondo moja kwa moja Ulaya
 
Leo ndio siku ya aibu
Pa1 tunaleta porojo za hapa na pale.

Kua leo ndo tunafufuka mara sijui nn.. Lkn mda utaongea.

Mpr sio sehem ya hamasa ni mipango bahat nasibu inakuja pia kwa mtu mwny mipango sio mpiga dua mara sijui tuiombee hakuna kuombea hapa ni uwezo uwezo uwezo.

Kama tunatk matokeo tuoneshe uwezo na sio vinginevyo.
 
Ila Tanzania Tungejikita katika Kuibua Vipaji Tangu utotoni tungepata wachezaji wazuri sana na hili swala linahitaji Elimu mpaka Vijijini..

Maana kijijini ukicheza mpira mtoto unakula mikwaju kwa wazazi wako..
Ili tutengeneze kina Samatta wengi,Kina msuva wengi nk.
Your browser is not able to display this video.
 
Hii sio Nzuri aisee. Ukute drasani Mtoto hayuko vizuri, tena unampga marufuku kwenye michezo. Hapo moja kwa moja unampoteza kotekote
 
Well said mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…