Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #3,261
Kwani nasema uongo ndugu zangu?Commentator anasema Tanzania is the weakest team in this group 😀😀😀
Leo Tz ijikaze tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nasema uongo ndugu zangu?Commentator anasema Tanzania is the weakest team in this group 😀😀😀
Leo Tz ijikaze tu
Tabu tupuHata huku ni hivyo hivyo
Alikuwa hadi anaogopa kuangalia. Kipindi cha pili wamtoe.Mayele kama mlikua mnamwangalia kabla ya kupiga penalty ni kama alikua analalamika kwa huyu jamaa aliyeenda kupiga penalty...na akakosa.
Hapo dodoma mnasemaje😁TANESCO mlaaniwe mmekata umeme.
Tuseme ukweli Morroco wabovu mno wakikutana na timu inayojua unachokifanya wanakula nyingi
Kwenye penalt kuna kupata au kukosa 😂😂Bakambu ni takataka
Kabisa kazingua sana hadi nimelia hapa😭Bakambu anaonekana hayupo mchezoni