OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kana maziwa mazuriMahondaw nakuona umeenda kuwapa hamasa Kizimkazi StarsView attachment 2878708
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kana maziwa mazuriMahondaw nakuona umeenda kuwapa hamasa Kizimkazi StarsView attachment 2878708
Dah🤣🤣Kabisa kazingua sana hadi nimelia hapa😭
Kwenye penalt kuna kupata au kukosa [emoji23][emoji23]
Yah tena mapema tuMayele angewafaa sana, wampe nafasi
Mayele kihehere ..mwenyewe alikosa penalty zote alizopiga alipokuwa TZMayele kama mlikua mnamwangalia kabla ya kupiga penalty ni kama alikua analalamika kwa huyu jamaa aliyeenda kupiga penalty...na akakosa.
Kumbe na ww ulimuonaKuweka tu mpira chini Mtu anatetemeka mikono halafu utegemee afunge!!! Ilikuwa lazima akose tu.
Yes.. takakaka zingine zilizowahi kukosa penalty ni Pacome, Beckham, Yao, Pele, Messi, Ronaldo, Haarland, Inonga, na wengine wengiBakambu ni takataka
Nilimuona chiefKumbe na ww ulimuona
Yes.. takakaka zingine zilizowahi kukosa penalty ni Pacome, Beckham, Yao, Pele, Messi, Ronaldo, Haarland, Inonga, na wengine wengi
Mkuu umeuliza serious au unatania?Penalty kukosa sio ajabu hata hao uliowataja walipokosa tuliwatukanisha[emoji16]
Lkn unaweza kuniambia penalty ya muhimu ambayo messi aliwahi kukosa?
Timu zako zote zitafungwa leoLeo nipo na Congo,Tanzania muda ukiwasili..