Morocco technically sio timu nzuri ila ina wachezaji wanaojituma uwanjani nothing else
Morocco ni waoga sana kushambuliwa,wakishambuliwa kwa dkk tano mfululizo lazima wafanye makosa
Nakumbuka mechi yao dhidi ya ureno robo fainali kombe la dunia 2022
Kila ureno alipokuwa kwenye flow ya kutengeneza mashambulizi wachezaji wa morroco walikuwa wanaingia kiwewe sana ponapona yao ilikuwa kukaba kwa namba kubwa kila mchezaji wa ureno anapokuwa na mpira
Kwangu mimi mchezaji wa hatari wa morroco ni ounah na hakimu pale timu inapokuwa offensive ila kwenye defensive hakimu average
Yule forward wao ngongoti wa sevilla ni wakawaida mno sio mshambuliaji wa kumtegemea