Ipo tukishinda leo halafu tukawakazia wacongoman. Hahaha. Daah.Tanzania [emoji1241] yetu hatuna nafasi tena KWISHA!
Hawa Morocco wanabalaaKwa mpira huu na matokeo yakibaki hivi, DRC watatukamia na kutuaibisha
You cant call me a fool. Insult your mother and give us feedback how she will react.I ain't even gonna waste my time on you coz soon you gonna start foaming at the mouth while speaking in tongues like a possessed wayward silverback gorilla.
😀 bado najiuliza hivi Tanzania tulifuzu vp kicheza haya mashindanoKizimkazi StarsView attachment 2878761
Huna timu ya Taifa Una timu ya CCM ova ,kifupi huna utaifa hivi hamuelewi wapiBibie hata Kama timu yetu ya taifa ni mbovu, Ila sio kwa hilo dongo.
Sema jamaa kapambana sana aiseeInonga kageuka ball boyView attachment 2878760