Hamna kitu... HovyooNigeria starting xiView attachment 2871553
Startimes definition yao ya picha ikoje? Natamani kuivuta baada ya kuona package yao yenye NatGeo, NatGeo Wild na Investigation Discovery ina bei ndogo sana compared na DstvNext time bora hata startimes, hii michuano ikipita napandisha Startimes na DSTV
Waandishi wengi Watupu sana kwenye Jiografia.Micky anasikitikia mahudhurio viwanjani
View: https://x.com/MickyJnr__/status/1746555830034481215?s=20
Ipo fresh nimewahi experience hik sehemu na niliipenda, picha ina Uangavu, channel zao nyingi zina uangavu labda siku hizi wamebadili World cup ya 2018 niliicheki ilikua ligi moja na DSTV.Startimes definition yao ya picha ikoje? Natamani kuivuta baada ya kuona package yao yenye NatGeo, NatGeo Wild na Investigation Discovery ina bei ndogo sana compared na Dstv
Nimepata majibu ya Onana wakuu.Onana inakuwaje tena?
Ameshaukana uraia wa Cameroon
Wametoa sare aisee hata hawajaamini.Natamani Nigeria wapigwe.
Burudani iongezeke.
πππShindwaa
π π π kwenye haya mashindano nyie hata musijihesabie kuna clubs kibao tena zenye pesa kuwazidi zimeyatolea macho.Kafanya mambo makubwa sana.
Uzuri Simba tushamwona...
Mkuu nimesema wanaweza, kosa kosa zilikuwa nyingi sana leo. Pia kwenye mpira kuna bahati mkuu.Watatoboa.
Wao na Cote D'Ivoire watapita kwenye hili kundi
Sisi ni miongoni mwao.π π π kwenye haya mashindano nyie hata musijihesabie kuna clubs kibao tena zenye pesa kuwazidi zimeyatolea macho.
Kwenye hili tupo pamoja Mtani.Kikosi Cha Misri (Mafarao) Kinachoanza.
View attachment 2871828
Kikosi Cha Wamakonde Wetu.
View attachment 2871830
All the Best kwa The Mambaz, MOZAMBIQUE.
Baada ya mchezo wa Spurs atakwea pipa kwenda kuungana na wenzake huko AFCONOnana inakuwaje tena?
Ameshaukana uraia wa Cameroon