2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Startimes definition yao ya picha ikoje? Natamani kuivuta baada ya kuona package yao yenye NatGeo, NatGeo Wild na Investigation Discovery ina bei ndogo sana compared na Dstv
Ipo fresh nimewahi experience hik sehemu na niliipenda, picha ina Uangavu, channel zao nyingi zina uangavu labda siku hizi wamebadili World cup ya 2018 niliicheki ilikua ligi moja na DSTV.

Muhimu chukua DISH sio Antenna.
 
Onana inakuwaje tena?
Ameshaukana uraia wa Cameroon
Nimepata majibu ya Onana wakuu.
Screenshot_20240114-194629~2.png
 
Back
Top Bottom