2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Unapata goli and then unapugunza mashambulizi kana kwamba dakika zimeisha, hivi hawajifunzi kwa timu zingine zinapofungwa ndo zinaongeza mashambulizi kutafuta ushindi mkubwa?!
 
ila mi nchi ya kijamaa sjui kwanin haiwezi kucheza mpira ona mi china ona mi Tanzania yamekaa kipumbavu pumbavu tu
Nilitaka kusema hili. Ujamaa unatengeneza mentality ya kufanyiwa na kuwa na ndoto kuwa mambo mazuri yatakuja yenyewe. Hii inajengeka na kuwa tabia ya raia wote. Hawaamini katika bidii, ubunifu, ufanisi na upambanaji.
 
Yaan zaidi ya ovyo watu wapo pungufu lakini baada ushambulie unakomaa kurudisha nyuma Hemmed Moroko kakomaa anapiga kelele kumbe kelele zile ni kuwahimiza warudiahe mpira nyuma wasiende kushambulia Goli la Zambia?
Huwezi kufunga wakati wewe unarudisha mpira nyuma tu kujitengenezea nafasi ya kufunga mwenyewe
 
Naendelea na msimamo wangu...
MPIRA KITABU
sisi hatutaki kabisa kideal na sehem hiyo...leo wachezaji 10 wamesawazisha kizembe mbele ya watu 11..
Zambia walipoteana na tulitakiwa tupate goli zaid ya moja...Samatta hawez kupiga hata killer pass..anarudisha nyuma
 
Inaboa sana yaan sijapenda kabisa Goli limerudi kizembe sana sababu uoga wa kwenda kushambulia pia uoga wa kwenda kufunga na uoga wa kwenda mbele kufunga au kulazimisha Goli hata kwa Kona au Penalty au Faulo za karibu na box
Faulo za karibu na box walipata ila walizipiga kwa mtindo wa back pass😂
 
Nilitaka kusema hili. Ujamaa unatengeneza mentality ya kufanyiwa na kuwa na ndoto kuwa mambo mazuri yatakuja yenyewe. Hii inajengeka na kuwa tabia ya raia wote. Hawaamini katika bidii, ubunifu, ufanisi na upambanaji.
Yani taifa letu tunasafari ndefu sana hii kitu ya Socialism imetafutana taifa letu kwa kiwango kikubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…