Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni aibu ndg yng.Yaan zaidi ya ovyo watu wapo pungufu lakini baada ushambulie unakomaa kurudisha nyuma Hemmed Moroko kakomaa anapiga kelele kumbe kelele zile ni kuwahimiza warudiahe mpira nyuma wasiende kushambulia Goli la Zambia?
Nilitaka kusema hili. Ujamaa unatengeneza mentality ya kufanyiwa na kuwa na ndoto kuwa mambo mazuri yatakuja yenyewe. Hii inajengeka na kuwa tabia ya raia wote. Hawaamini katika bidii, ubunifu, ufanisi na upambanaji.ila mi nchi ya kijamaa sjui kwanin haiwezi kucheza mpira ona mi china ona mi Tanzania yamekaa kipumbavu pumbavu tu
Huwezi kufunga wakati wewe unarudisha mpira nyuma tu kujitengenezea nafasi ya kufunga mwenyeweYaan zaidi ya ovyo watu wapo pungufu lakini baada ushambulie unakomaa kurudisha nyuma Hemmed Moroko kakomaa anapiga kelele kumbe kelele zile ni kuwahimiza warudiahe mpira nyuma wasiende kushambulia Goli la Zambia?
Inaboa sana yaan sijapenda kabisa Goli limerudi kizembe sana sababu uoga wa kwenda kushambulia pia uoga wa kwenda kufunga na uoga wa kwenda mbele kufunga au kulazimisha Goli hata kwa Kona au Penalty au Faulo za karibu na boxNi aibu ndg yng.
Harudi uyo, game ijayo utamuona...Mo Salah amerudi zake Liverpool kwaajili ya kujiuguza jeraha lake kama atapona na Misri bado wakawa mashindanoni atarejea zake kwenye AFCON 🤔🤔
Faulo za karibu na box walipata ila walizipiga kwa mtindo wa back pass😂Inaboa sana yaan sijapenda kabisa Goli limerudi kizembe sana sababu uoga wa kwenda kushambulia pia uoga wa kwenda kufunga na uoga wa kwenda mbele kufunga au kulazimisha Goli hata kwa Kona au Penalty au Faulo za karibu na box
Wajinga sana wale wanacheza mpira wa kuelekea golini kwao baada wacheze kuelekea Goli la timu pinzaniFaulo za karibu na box walipata ila walizipiga kwa mtindo wa back pass😂
Yani taifa letu tunasafari ndefu sana hii kitu ya Socialism imetafutana taifa letu kwa kiwango kikubwa sana.Nilitaka kusema hili. Ujamaa unatengeneza mentality ya kufanyiwa na kuwa na ndoto kuwa mambo mazuri yatakuja yenyewe. Hii inajengeka na kuwa tabia ya raia wote. Hawaamini katika bidii, ubunifu, ufanisi na upambanaji.
Hii game tamu sana
Hii game Kuna sare😁🤣Aya watoto wa madiba mikono juu.