AmepataPercu Tai anaenda kupiga penati
Kapata mbonaAnakosa tena Tau
Safari kafuta makosa yakeAnakosa tena Tau
Ulikuwa utabiri. Maana han akili huyoKapata mbona
🤣😁😂Ulikuwa utabiri. Maana han akili huyo
Ni Sheria kama unavyo ona mazembe na unyoaji vidukuMbona wachezaji wa Afrika kusini wengi wamenyoa vipara?
Taifa stars ni Mabovu sana bora Bafana bafanaBafana Bafana hawana tofauti na Taifa Stars
Tena wahuni watupuVAR ni kikundi cha watu
Nafikiri labda ni uamuzi wao tu na wala sio kitu kigeni.Mbona wachezaji wa Afrika kusini wengi wamenyoa vipara?
[emoji23][emoji23]hatimae nimemuona mchezaji na kitambiNumber 4 wa Namibia ana kitambi kama changu