2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Mbona wachezaji wa Afrika kusini wengi wamenyoa vipara?
Nafikiri labda ni uamuzi wao tu na wala sio kitu kigeni.

Romania waliwahi kwenda World Cup ya mwaka 1998 pale Ufaransa huku kikosi kizima kikiwa na kimepaka Bleach
IMG_9523.jpeg
IMG_9524.jpeg
 
Back
Top Bottom