Pepe awekwe mahali apigwe maweTatu bila tatu bila wamebana wameachia
Na Ndio anakua mfungaji bora na wakizubaa anawatia cha tatukipara 5 goals so far
Kama Vincent Aboubakar wa CameroonHuyu Nsue anazeeka na utamu wake
Bado kidogo
Unasemaaaaaa?Bado kidogo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hard life kwa kweli
2027Taifa stars 2007 wataifikia hii rekodi ya mwenyeji
awa jamaa toka mechi ya kwanza Na Nigeria walionesha wapo vizur sanaGuinea Bissau hawakuinewa kumbe zile 4
Typing error2027