gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Hii ni aina nyingine ya Taifa star.wewe na kipa unakosa, hawa jamaa wako timamu kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni aina nyingine ya Taifa star.wewe na kipa unakosa, hawa jamaa wako timamu kweli?
Na Pacomeni wapumbavu na mim chuki na ivory coast ilianzia apo kwa wachezaji gani walionao had wamuache Zaha wametunyima Burudani Bure kenge hawa
awa lazima waseme wapi wanafichaga pesa kenge hawaaaaaKudadadeki
Nimeachana nao.Ivory coast wanasurubiwa 😭😭😭
Walikosa magoli ya wazi kabisaIvory coast ya pacome imepigwa bao 4 huko🔥🔥
Wanaume hatuna huruma za kifala achana naoNimeingiwa huruma
Huruma ya Nin yapigweee kabisa wazao Nigeria na watoto hawa mda mwingi walikua wapo nyuma wananashambulia kwa counter tu ila wao wameacha goli wanajifanya wanajilipuaNimeingiwa huruma