Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakina nani hao?Ivory coast kichwa Cha mwendawazimu
Hawana tofauti na vilaza wenzao wa jana
Kati ya Cape Verde au Equtorial Guinea ipi ni timu iliyokuvutia katika mashindano ya mwaka
Haishangazi kwanini alikuwa anakaa benchi mechi za mwanzoniila Boly mwili mkubwa ila akili ndio hamna kabisa
Equtorial GuineaKati ya Cape Verde au Equtorial Guinea ipi ni timu iliyokuvutia katika mashindano ya mwaka huu
Viwanja vitabaki tupu, wakiondoka hawa jamaa, maana wananchi watazila 😂!.ivory coast inaonesha wageni pia wanawakazia sana dada zao maana sio kwa ujinga huu
ni wapumbavu na mim chuki na ivory coast ilianzia apo kwa wachezaji gani walionao had wamuache Zaha wametunyima Burudani Bure kenge hawaHalafu eti kocha hajamuita Zaha. Hivi kwenye hilo litimu yupi anaemzidi Zaha?