2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

POle nyingi kwa kina nikolas pepe huyu jamaa kashapotea ahakikishe anaongea na mgunda ikiwezekana aje msimbazi tu,

Piga wwnyeji haooo na hili liwe fundisho kwa sisi tanzania maana tunatarajia kuhost adcon ijayo tusije ingia katika mfumo kama cote di vo🤣
 
Mwaka 2000 au 2002 wakati Ivory Coast ikiwa chini ya utawala wa kijeshi waliwahi kutolewa mapema kama hivi.

Basi wachezaji waliporudi nyumbani wakapelekwa kambi ya jeshi kuwekwa sawa
 
Back
Top Bottom