2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

IMG_9547.jpeg
 
Leo m1 hapa kati ya Farao na Ghana akileta ufala ataenda nyumbani kucheza na watt.

Hawa Giant ni vzr pia wengi wasukumwe nje wasichukulie mazoea mataifa mengne pia yanakua kmpr kasoro kichwa cha mwendawazimu.
 
Ndicho nilichosema hata mimi hapa nilipokuwa naangalia.

Kuna huu sijui ndio right winga sijui left, alikuwa anajituma kweli, ila wenzie sasa hakuna wa kumalizia.

Mabeki wanakimbia kama Wana funza miguuni.. mipumbavu kabisa
Hii mibeki ilitakiwa icharazww fumbo nne nne
aya inabidi yakalale jeshini yachapwe viboko taifa limeingia hasara wao wanaleta upumbavu
 
Back
Top Bottom