James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
Ukute kocha wa Ivory Coast kikosi kapangiwa na Drogba😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naye ache kujikuta Cameroon ni yake peke ake Ndio Maana alinyimwa Urais wa CAF yey kila siku ni kuwananga wachezaji kama vipi aingie kucheza yeye
Jamaa kawa save sana
DahHawa Guinea wanaichapa Manchester United bila shida.
aya inabidi yakalale jeshini yachapwe viboko taifa limeingia hasara wao wanaleta upumbavuNdicho nilichosema hata mimi hapa nilipokuwa naangalia.
Kuna huu sijui ndio right winga sijui left, alikuwa anajituma kweli, ila wenzie sasa hakuna wa kumalizia.
Mabeki wanakimbia kama Wana funza miguuni.. mipumbavu kabisa
Hii mibeki ilitakiwa icharazww fumbo nne nne
bado awajatoka wataingia kama mshindi wa tatu itategemea msimamo hadi j5aya inabidi yakalale jeshini yachapwe viboko taifa limeingia hasara wao wanaleta upumbavu
wametumia vigezo gani kumpa title ya man of the match mtu huyu? Maana mpira nimeuangalia kafanya nini cha maana?
ata wakipita bado mvua itawenyeshea sanabado awajatoka wataingia kama mshindi wa tatu itategemea msimamo hadi j5
Mpira uliuangalia au ulikuwa unaufatilia kupitia hapa JF ?wametumia vigezo gani kumpa title ya man of the match mtu huyu? Maana mpira nimeuangalia kafanya nini cha maana?
Ukiitizama hii picha Etoo aliovaa shat
Equatorial Guinea kaonyesha mfanoLeo m1 hapa kati ya Farao na Ghana akileta ufala ataenda nyumbani kucheza na watt.
Hawa Giant ni vzr pia wengi wasukumwe nje wasichukulie mazoea mataifa mengne pia yanakua kmpr kasoro kichwa cha mwendawazimu.
Tena huko mbele ndio Kuna mvua za maweata wakipita bado mvua itawenyeshea sana
225