United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Mashabiki wanataka kuingia Ndani kenge hawa tutawapiga viboko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi pia...Wanatia huruma.Nimeingiwa huruma
Shauri zaoViwanja vitabaki tupu, wakiondoka hawa jamaa, maana wananchi watazila 😂!.
Ivory coast ni wabovu mechi yao ya mwisho walikula 4 na Zambia Bado wakachemka kuingia word cup 2022 kifupi wajipange upya tuHii mechi inanikumbusha Simba vs Yanga tulifungwa magoli bila kuelewa kinachoendelea, dahhh
Comment namba 201 ya tarehe 13/01/2024 match ya ufunguzi dhidi ya Guinea Bissau [emoji1120]Wenyeji safari hii hawana timu kali sana!!
Naona Equatorial wako vzr zaid wanacheza sana.Kati ya Cape Verde au Equtorial Guinea ipi ni timu iliyokuvutia katika mashindano ya mwaka huu
HawaogopiNaona Equatorial wako vzr zaid wanacheza sana.