2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Egypt [emoji1093] wajichunge watapatwa na kilichowapata Ivory Cost. Maana sasa wote wanapanda.
 
Hawa Cape Verde wanatishia nafasi ya Kufuzu kwa Egypt.. maana wana walaza na viatu Leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…