Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wamefunguka kweliEgypt [emoji1093] wajichunge watapatwa na kilichowapata Ivory Cost. Maana sasa wote wanapanda.
Vyanzo mbalimbali vya mtandaoni vilinukuliwa hivyomchana sjui ni wew niliona umesema karudi livepoor
Alafu hawa wahuni ni kama wareno watupu mpira wao.Taifa stars chukue notes jinsi cape Verde wanavyocheza hapo nyuma.! Tofali hizo cement ni nyingi KULIKO mchanga. Huo ukuta ni zaidi ya Berlin.
Yaani Mzamiru au Himid wajifunze katika umri ule?Taifa stars chukue notes jinsi cape Verde wanavyocheza hapo nyuma.! Tofali hizo cement ni nyingi KULIKO mchanga. Huo ukuta ni zaidi ya Berlin.
Kuzidi wanetu wa Gine ya IkwetaUkweli inabidi usemwe. Hawa Cape Verde ni wenye sifa kupita kiasi.
Yaan Kuna mkeka nlitaka kustake laki niamke na 56 ya mafuta kwa Egypt tu direct win kumbe ningeyatimba,nashkuru mtandao umesumbua[emoji2]mpira wa leo ni waajabu sana
Wote tu, ila hawa Cape Verde walikuwa wameishapita kabisa.Kuzidi wanetu wa Gine ya Ikweta
Hata hawa Ghana na Msumbiji ni suala la muda tu kuna dalili zote wanagawana Mbao.
Muindi saizi pesa yako angekua ashaitafunaYaan Kuna mkeka nlitaka kustake laki niamke na 56 ya mafuta kwa Egypt tu direct win kumbe ningeyatimba,nashkuru mtandao umesumbua[emoji2]