Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Aende wapi?
Hawana kikosi cha kutoaboa apo 16 wanaishia apo apoWameshafuzu na point 6.
Wanasubiri 16 bora
Sawa mgangaHawana kikosi cha kutoaboa apo 16 wanaishia apo apo
Wanapiga pasi hadi kwenye 18 ya mpinzani. Wanataka kufunga easy goalHawa cape verde wapo kama Barcelona dadeki
Sio suala la uganga hawana kiwango icho mnachowasifiaSawa mganga
Hawana kikosi cha kutoaboa apo 16 wanaishia apo apo
Lakini egypt ndie mmiliki wa mpira zaiďi, goal on target egypt anaongoza,Wanapiga pasi hadi kwenye 18 ya mpinzani. Wanataka kufunga easy goal
Me nawashangaa hao wanaoisifia iyo cape verde cjui uwo ubora wao upo wapi ni kikosi cha kawaida tu kwa kweliHawafiki mbali, tena wakutane na Morocco au Senegal aise watakula nyingi
Yes naongelea wanapokuwa na mpira.Lakini egypt ndie mmiliki wa mpira zaiďi, goal on target egypt anaongoza,
Watu wanataka kumtoa Egypt unasema hawana kiwango?!Sio suala la uganga hawana kiwango icho mnachowasifia
Leo wanacheza wakiwa hawana cha kupoteza hata wafungwe wataongoza kundi bd.Me nawashangaa hao wanaoisifia iyo cape verde cjui uwo ubora wao upo wapi ni kikosi cha kawaida tu kwa kweli
Mshangae ww.. Tena wanatk kumtoa wao wakiwa hawana la kupoteza leo hata wakifungwa wataongoza ilo kundi bado.Watu wanataka kumtoa Egypt unasema hawana kiwango?!