Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
inasikitisha sanaView attachment 2880660
Ivorians hapa wamezingua hata kama kufungwa ila hii sio sawa
Angalia hii ta Guinea vs Senegal hii ya motoooWakuu niache mihangaiko yangu nikatazame Gambia vs Cameroon au nitapoteza muda, sio shabiki kivile so nataka nikiacha mambo yangu mechi iwe ya kusisimua. Inaniuma kila siku nakosa mechi alafu nasikia watu wanasifia kesho yake. Au nisubiri ya saa nne.
Senegal si imeshapita. Ila wanakandamiza tuTeam Senegal uhakika leo π₯π₯π₯π₯
Na ana bondwa watoto wanamtafta huyo soon tu anapasukaCameroon bye bye
ππ Ngoja tuone kama atafunga leo
πππ Unachekia DSTV au Azam?ila cameroon wanatia huruma kama Taifa stars
asa Si Ndio game ya kuangalia Senegal wa Nin huyo sikashapita watu tunataka kuona Cameroon akitokaHumu inaelekea wengi mnaangalia game la Gambia ee