Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Huku sadio mane huku diatta kamba zitapigika mzeee pigaaa haooooooMechi ya Senegal na Guinea inaboa sana kila dakka watu wanakatana tu kama wanacheza mipira ya mchangani,
Hii senegal 16 bora atapita Maan hiyo hatua bado kunakuwaga na mabaki ya wajinga kadhaa ila Robo fainali hatoboi anatolewa.
Sababu iliyonifanya niseme hivyo ni kwanza wanacheza mno rafu zisizo na msingi hii itakuja kuwafany wapate Red mechi muhimu,
Kitu cha pili ...... Hawawez kabsa kuunda shambulizi kutokea katikati na hat wakijaribu kufanya hivyo huishia kupoteza mipira, Siku wakikkutana na timu itakayowabana Vizuri pembeni shughuli yao imeishia hapo, kweny defense wapo vizuri ila wanakata mno itawacost
Mnaoshabiki Senegal mjipange kisaikolojia Msiseme hamkuambiwa hii timu Nusu fainali haifiki.
Ingekuwa hakuna VAR walete Ile Pira kati🤣Goli la maradona 🤣🤣🤣
Senegal mbwa hao wanafunga magori mengi ya NinMechi ya Senegal na Guinea inaboa sana kila dakka watu wanakatana tu kama wanacheza mipira ya mchangani,
Hii senegal 16 bora atapita Maan hiyo hatua bado kunakuwaga na mabaki ya wajinga kadhaa ila Robo fainali hatoboi anatolewa.
Sababu iliyonifanya niseme hivyo ni kwanza wanacheza mno rafu zisizo na msingi hii itakuja kuwafany wapate Red mechi muhimu,
Kitu cha pili ...... Hawawez kabsa kuunda shambulizi kutokea katikati na hat wakijaribu kufanya hivyo huishia kupoteza mipira, Siku wakikkutana na timu itakayowabana Vizuri pembeni shughuli yao imeishia hapo, kweny defense wapo vizuri ila wanakata mno itawacost
Mnaoshabiki Senegal mjipange kisaikolojia Msiseme hamkuambiwa hii timu Nusu fainali haifiki.
Ulibet mkuu ? 😁Senegal mbwa hao wanafunga magori mengi ya Nin
wamefunzu tayari wapo nafasi ya piliCameroon wakileta ujinga wanaenda kwao
Records nduguSenegal mbwa hao wanafunga magori mengi ya Nin
Ukitaka utawale Mpira wa kisasa Basi uwe na uwezo wa kuanzisha mashambulizi kupitia katikati,Huku sadio mane huku diatta kamba zitapigika mzeee pigaaa haoooooo
Team zenye majina makubwa ambazo ni unga unga mwana zinabid zianze kupungua nyng kwny makundi.
Zngne kama kina Misri hao round ijayo nayo watapungua tu maana hakuna kitu wanaruka ruka tu.
SAwa mkuu senegal 9 pointsUkitaka utawale Mpira wa kisasa Basi uwe na uwezo wa kuanzisha mashambulizi kupitia katikati,
ila mipira ya pemben ina madhaifu mengi sana na ni rahisi kudhibiti kwa kutumia mifumo mipya ya soka la kisasa.
Siwapendi tu CameroonUlibet mkuu ? [emoji16]
Sawa usitoke kwenye runinga yako subiri wanapewa kombe lao hapo la kufikisha points 9SAwa mkuu senegal 9 points
nchi ndogo kama Cape Verde na Equatorial Guinea wanatisha sana na wana uwezo mkubwa wa kulibebaEgypt tunabeba kombe
Mkuu kama kuna kombe tofaut unalo ongelea tofaut na hili la AFCON bas kwl mtabeba sina shaka juu ya ilo.Egypt tunabeba kombe
Hatua kwa hatuaSawa watapewa kombe lao la Points 9 kesho