Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Hii nayo ni michuano takataka Best loser ya Nin Mpira wa kishamba sana huu Tena wakizamaniKundi lao timu 3 zimesonga mbele yaani Senegal, Cameroon na Guinea sababu hizi timu 2 zenye pointi 4 mpaka sasa hakuna aliyenazo kwa makundi yaliyomaliza mechi.
Ivory Coast bado wanaendelea kuomba dua itokee miujiza kwa makundi yaliyobakia
Kabsa Africa tunatia mno aibuHii nayo ni michuano takataka Best loser ya Nin Mpira wa kishamba sana huu Tena wakizamani
Hata euro ina best looserHii nayo ni michuano takataka Best loser ya Nin Mpira wa kishamba sana huu Tena wakizamani
Sina baya na Algeria ila ningependa watokeMara paap Algeria bye bye
Hesabu ni rahisi sana hata mtoto wa chekechekea kwenye shule nzuri anaweza.Hii nayo ni michuano takataka Best loser ya Nin Mpira wa kishamba sana huu Tena wakizamani
Wale sababu yao kubwa ni Kubalance Timu maan kuna nchi nyingi kule hat mechi zao za kufuzu huwa ni Zinakuwa nyingi sana, ila huku kwetu kulikuwa hakuna sababu ya msingi sanaHata euro ina best looser
Algeria tu 1st half anamaliza kazi, huyu dogo atapigwa kama mbwaMara paap Algeria bye bye
Kwanini sio za msingi huku kwetu?Wale sababu yao kubwa ni Kubalance Timu maan kuna nchi nyingi kule hat mechi zao za kufuzu huwa ni Zinakuwa nyingi sana, ila huku kwetu kulikuwa hakuna sababu ya msingi sana
Mtapigwa kama madufuCameroun tumepita kibabe hapa hakuna tena wa kutuzuia wakitaka hata senegal waje Round of 16
Huyu kocha wa Cameroon mbona kama daz Baba
unanifundisha kitu ambacho nakifahamu najua ili upate timu 16 lazima uwe na Timu 32 nimeanza kucheki mpira kitambo sana point yangu ilikua kwanin wasiweke timu zote 32Hesabu ni rahisi sana hata mtoto wa chekechekea kwenye shule nzuri anaweza.
Makundi yapo A, B, C, D, E & F, ina maana yapo makundi 6 na kola kundi lina timu 4, timu 2 za mwanzo kwa kila kundi zitatoka timu 2 za mwanzo zitafanya kuwa na timu 12.
Sasa unategemea hizo timu 12 zicheze wenyewe?
Zikicheza wenyewe zitatoka timu 6 na zitabakia timu 6. Ebu fikirisha akili yako.
GOD BLESS ISRAEL.
Cc. FaizaFoxy
Tunataka kumpiga nyapara mapema kabisa ili tuwe na uhakika wa kubeba hii AfconMtapigwa kama madufu
Sheria iliyowafanya Cameroon kua juu ya Guinea ni iyo hapo namba 1c.Goals scored Cameroon kafunga 5 Guinea kafunga 2.Hivi mbona Cameroon na Guinea wote wanalingana alama na idadi ya magoli lakini Cameroon kapita? Kadi au?