Na huyo huyo Mabululu ndo kafanya yakeHawana kitu hao kina mabululu fc
Bado moya...Daaaaah nyumba ishaungua!
wamelala yoo
Mahesabu ya mhasibu kwani yanasemaje?Huyu dirisha kubwa hatuko nae jangwani huyu
KabisaIla tukubali jitihada za wengine, jamaa kaichonga kiufundi sana.
Wanyonge kweli kweliAfCON ya mwaka huu hatari. Tusio na bahati ni sisi tu wanyonge wa CCM
Embu mtag tumuulizeMahesabu ya mhasibu kwani yanasemaje?