Wakongo mmeajitokeza mapema mno aiseeIla kesho nipo home team yangu RD Congo ππ€£
Tunakupa dk 5 tu tunakata tena mkuuSasa nipo live Tanesco wametuachia
Baelezee nipo hapa from Kinshasa kesho ushindi lazima tupateWakongo mmeajitokeza mapema mno aisee
Cameron na Nigeria Kwa. Hali zao hyo Raund ya 16 wasipobadilika aibu itawakutaRaha wakubwa waende nje.
Na watakaobak wataenda nje round ya 16.
Ili wajue mazoea hakuna nchi zngne pia zinakua kmpr
Pigeni hao waarabuMauritania tunaubonda sana.
Tunawapasua kweli kweliPigeni hao waarabu
Hakika na niliwasahau hawa Nigeria nao ni unga unga mwana hakuna team mno.. Wakisogea sana robo wataenda kupumzka.Cameron na Nigeria Kwa. Hali zao hyo Raund ya 16 wasipobadilika aibu itawakuta
Unaangalizia channel gani? Mbona commentator hapa ameitaja timu yake? YangaHivi huyu Aziz anacheza timu gani? Mbona anapiga mipass kama ya Iniesta au Yaya Toure.
Kwani hukuwaona Inonga na Chama?Yanga mmeisikia huko au bado? Hii ndio faida nyingine ya kusajili wachezaji wakubwa, wanaitangaza klabu kimataifa!
Kwani Mhasibu wetu anasemaje?
Hii mechi ifike mpaka dk ya 80 matokeo yawe hivo hivo waarabu lazima wakinukishe, wanaweza kuwaharibia hata attention Mauritania kwa fujo za hapa na pale mara goli zimerudiKuna fujo hapa.
Algeria na Mauritania.
Refa anaingilia kati.
wote wawili wanakula Yello