OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Leo nasimama na Diarra Morocco na Sauzi rafiki najua Sie kwa Mayele hatutoboiKabeesa asavali njaanuari imeenda rafiki.
Vipi leo AFCON rafiki unasimama na timu zipi?
Tanzania ina menhi sana ya kunifunza kutoka kwa Mauritania.Tanzania igeni mfano wa comeback aliyoifanya Mauritania [emoji1163] dhidi ya Algeria [emoji1026].
Wazelendo liombeeni taifa lenu.
Nalog out.
Yule mu algeria alitumwa kutuhujumu yule ni spy wa soka, angalieni kauli zake na mahusiano yake na makocha wenzie.
Leo ndo leo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si wanacheza Leo??
Kabisa, clubs zao zisingeweza kushinda mara nyingi makombe yote ya Afrika pia Misri isingeweza kushinda mara saba AFCON.Hakuna kucheza ili mradi hapan saiv team ya taifa ikiwa na wachezaji watatu wanachez ligi kubwa duniani ikiwa na wachezaji watano wanacheza madaraja ya kati ulaya ujue ni kisanga waraabu walikuwa janja janja zamani lakin saiv mpira na zama zimebadilik kila kitu kipo wazi kabisa saiv ball linapigwa kasoro team yet ya tanzania tu ovyo kabisa
Yes.. Zambia akipigwa na Morocco [emoji1173] na Tanzania vs Congo matokeo yoyote yale Ivory Coast anaenda hatua ya 16Muritania ameenda tayari wakufanya maombi ni Ivory Coast kwa migoli aliyopigwa anaweza asitoboe
Wewe ndio Kiazi. Kubwa zima unashindwa kufahamu mambo madogo kiasi hichi.Akili kiazi wewe
View attachment 2881345
Mkuu mechi kwani ni leo? Maana kwenye ratiba sioni
Ni leo saa 5 usikuMkuu mechi kwani ni leo? Maana kwenye ratiba sioni
Mkuu mechi kwani ni leo? Maana kwenye ratiba sioni
Hakuna Dua mkuu hakuna Dua.Na leo tena tujaribu DUA ZETU kwa mwenda wazimu.
Mauritania kaandika Historia sisi hapa hadi tukae mezani ndipo tutoboe
Bahati mbaya Bi mkubwa yupo Indonesia, nani ataenda kukaa na Tishishekedi mezani[emoji23][emoji23]
Ila ule uchezaji wa kurudisha mipira nyuma sijui nani aliwafundisha aisee.Hakuna Dua mkuu hakuna Dua.
Tunahitaj kuonesha uwezo uwezo uwezo.
Mpr wa back pass hlf uombe Dua utafunga vp ss wkt mpr mnacheza kwny half yenu badala ya wapinzan?