tafta TV guard next target ni Tv yako itakufa TV guard karikoo ni 15 tuWashenzi sana asubuhi wamepita na Decoder yangu ya DSTV nimejikuta nalipia Azam bila kupenda na nilishaisusa muda
Tanesco [emoji57][emoji57] [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Dogo anaangalia katuni wakakata na kurudisha hapohapo
Tanesco shenzao[emoji57][emoji57][emoji706][emoji706][emoji706]!
cc Smart911
Karibu Namibia its cuteSema Angola nao wamoto lol sijui nisimamie wapi hata
Simama kwa yeyote atakae anza kufunga🤪Sema Angola nao wamoto lol sijui nisimamie wapi hata
Baki Angola achana na watu pori NamibiaSema Angola nao wamoto lol sijui nisimamie wapi hata
[emoji23]Namibia wale jamaa wa Bush men
kipa kapewe umeme chizi huyuTukitulia vizuri hawa Angola tunawachapa kwa kaunta