Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Dahhh kipa kala umeme aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kipa mshamba huyu asa unadakaje mpira paleKipa tamaa zake
Kala red card mapema kbs
Tunawaua.Angola tumeyakanyaga
Tunawaua.
Ila timu ikiwa pungufu spirit inaongezeka
Angola wanaleta utoto hizi game sio za kuleta utani kabisaTunawaua.
Ila timu ikiwa pungufu spirit inaongezeka
Bahati mbaya yakeDahhh kipa kala umeme aisee
Uchizi gan tena mkuu kipa kataka kusave makosa ya bekikipa kapewe umeme chizi huyu
kafanya makusudi yule siunaona alikunja mguu mmoja ubaki Ndani alijua kashatokaKipa hakujua kama yuko nje ya line
Mi naona hakujua kama keshavuka lineUchizi gan tena mkuu kipa kataka kusave makosa ya beki
Kama ungekuwa ww kipa ungefanyaje?
Asante ngoja nifanye hivo make ishaniunguzia mara kwa mara vitu vingine piatafta TV guard next target ni Tv yako itakufa TV guard karikoo ni 15 tu
kabisa.red card ya mapema sana hii asee
kwanin angeacha tunauwahika gani lingekua Goli aya kapata Red card na ni mapema kabisa game plan nzima ya Timu ime changeUchizi gan tena mkuu kipa kataka kusave makosa ya beki
Kama ungekuwa ww kipa ungefanyaje?
Hakika mkuu pale wakupewa lawama ni bekiMi naona hakujua kama keshavuka line