uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Amen!!Ehh Mungu saidia Namibia🙏🏿🙏🏿
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen!!Ehh Mungu saidia Namibia🙏🏿🙏🏿
Nimekua mzalendo sijawakimbia Angola nashikamana nao kwenye shida na raha 🤠Umekataa kukaa na sisi?
Kawa na tamaa ya kutokea.. Yamemkuta saiv yuko dressing room anakula game kwny kideo tu hakuna namna.Masikini kipa wa Angola [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
🤠🤠🤠🤠Ehh Mungu saidia Namibia🙏🏿🙏🏿
Progress ni nzuri hadi sasa ....Ndo wacheze wafunge ss.. Kadri mnavozid kudrag hii game mkiwa 0-0 zikafika dkk mbaya mnaweza viziwa nyie mkapigwa chuma.
Wanabid watumia advantage ya Extra man vzr wapate mabao sio kosa kosa tu.
Mungu ni wetu sote.Nimekua mzalendo sijawakimbia Angola nashikamana nao kwenye shida na raha 🤠
Eeh Yesu saidia Angola 🙏🙏
Kama kuwa pungufu kunaongeza spirit kwanini mliingiza wote?Tunawaua.
Ila timu ikiwa pungufu spirit inaongezeka
HaizaiNamibia wanapiga kona hapa.
DK 36