uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
makusudi wakati anajua kuna kadi?kafanya makusudi yule siunaona alikunja mguu mmoja ubaki Ndani alijua kashatoka
Ila mabeki wamemlostisha.
Hakuwa na namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
makusudi wakati anajua kuna kadi?kafanya makusudi yule siunaona alikunja mguu mmoja ubaki Ndani alijua kashatoka
Yeah naamini Angola wako vizuri Nina Imani naoBaki Angola achana na watu pori Namibia
Lile lilikuwa goli mkuu kasave sana kipakwanin angeacha tunauwahika gani lingekua Goli aya kapata Red card na ni mapema kabisa game plan nzima ya Timu ime change
Namibia wako seriousAngola wanabidi wafanye kaz mara 2 walau hata wawe na nafas ya kupita.
Namibia nao wakileta mambo ya Stars vs Zambia ya kulizika game wataiona ngumu bado... Wanabid wajue namna ya kutumia advantage ya Extra player.
Wakishinda hii game.Yeah naamini Angola wako vizuri Nina Imani nao
Kosa la Bekkwanin angeacha tunauwahika gani lingekua Goli aya kapata Red card na ni mapema kabisa game plan nzima ya Timu ime change
Masikini kipa wa Angola 🙆🙆🙆🙆Angola wanabidi wafanye kaz mara 2 walau hata wawe na nafas ya kupita.
Namibia nao wakileta mambo ya Stars vs Zambia ya kulizika game wataiona ngumu bado... Wanabid wajue namna ya kutumia advantage ya Extra player.
Ndio vita ilivyo,unaweza ishiwa silaha ,ukaokota ghafla kitu chochote kujihami nacho,mwishowe unashtuka kumbe nilichookota sicho.ni bahati mbaya tuMi naona hakujua kama keshavuka line
Mkuu timu wakiwa pungufu morale huwa inapanda zaidi.Wakienda HT droo, Namibia wazembe.
Hao Namibia nao Wana watu sio mechi nyepes Kwa AngolaWakishinda hii game.
Watacheza final
Na Ndio Maana kapewa nyekundu unavunja sheria makusdi afu unategemea refa atasema hii ni Bahati Mbaya amepata alichostahilimakusudi wakati anajua kuna kadi?
Ila mabeki wamemlostisha.
Hakuwa na namna
Umekataa kukaa na sisi?Eeh Mungu saidia Angola 🙏🙏
Ehh Mungu saidia Namibia🙏🏿🙏🏿Eeh Mungu saidia Angola 🙏🙏
Kweli kabisa. Ref wakina sisi.Mkuu timu wakiwa pungufu morale huwa inapanda zaidi.
kuifunga timu pungufu ni ngumu.
Ila hapa watafungwa tu
Ndo wacheze wafunge ss.. Kadri mnavozid kudrag hii game mkiwa 0-0 zikafika dkk mbaya mnaweza viziwa nyie mkapigwa chuma.Namibia wako serious