Cha moto kabisaChumaaaaaaa
We tulia. We Muangola?? ππMy God never fails me πππππππ!
Aaamin
Huyu kipa anazngua mechi ya Burkina Faso alidaka Mpira akatokea nao nje ya 18 alipewa kad ya njanooNa Ndio Maana kapewa nyekundu unavunja sheria makusdi afu unategemea refa atasema hii ni Bahati Mbaya amepata alichostahili
Tushalala mapemaNilijua tu