Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Sasa mkuu chukua hii hlf fatilia.Etoo hana ushikaji wowote na Onana, aliwahi kufanya jamaa aikache team.
Kiufupi Song hafurahishwi na Style of playing ya Onana hasa tabia ya kusogea mbele na KUWA mstari mmoja na mabeki wake wa Kati Ile style aliita ni ya Kizamanj 😂😂Sasa mkuu chukua hii hlf fatilia.
Ambae anampa onana kiburi ni Eto'o na hakuna mwngne.. Song alikua ashatemana na Onana kitambo tangu mambo ya Onana kumpangia Song namna ya kucheza kipind kile kwny WC.
Ndo Eto'o kuingilia kati lile sakata na kumshawishi Song ambaye pia ni mwanae afunike kombe mwanae arudi.. Na yote kwa sbb onana kapita Academy ya Eto'o.
Ww fatilia utajua kwnn onana karud kwny team.
Brother, nimelinganisha form Yao kwa sasahivi sio historia .Dah [emoji23]
Najua utajitetea kwa kuleta saves za Afcon tuangalie kati ya Diarra na Onana.
Sema mkuu sbr watu Simba mtoane roho kwnz.
Maana mpr wa simba na yanga ndo maana ushanishinda mm binafs kila mtu anavutia kwake.
Song hamkubal hata kdg playing style yake ya uManuel Neur.. Ni basi tu Eto'o anashawishi awepo kwny kikosi na song kwa sbb na yy amewekwa na mwanae Eto'o hana namna anabid tu kukubal.Kiufupi Song hafurahishwi na Style of playing ya Onana hasa tabia ya kusogea mbele na KUWA mstari mmoja na mabeki wake wa Kati Ile style aliita ni ya Kizamanj [emoji23][emoji23]
Mane Yuko Senegal nduguHivi Mane yupo wapi kwanza🤠🤠?? Senegal au Cameroon Ay nimechanganya madesa???Ndio nasimama na timu yake aseee
Senegal.Hivi Mane yupo wapi kwanza[emoji1783][emoji1783]?? Senegal au Cameroon Ay nimechanganya madesa???Ndio nasimama na timu yake aseee
Yupo Taifa Stars ya SudaneHivi Mane yupo wapi kwanza🤠🤠?? Senegal au Cameroon Ay nimechanganya madesa???Ndio nasimama na timu yake aseee
Ohooo basi nilichanganya madesa Nikajua ni Cameroon lol!Senegal.
Ushachanka mkekanawapa win Nigeria AET
Saii si Nigeria na Cameroon???Mane Yuko Senegal ndugu
Yah game inaanza saivi 4 kamiliSaii si Nigeria na Cameroon???
Ngoja tuone kama historia itaendelea kumbebaTeam Cameroon hii game tunajipigia Nigeria mapema sana
Nigeria robo anaenda sjui yule mtoto lookman leo kaanzanawapa win Nigeria AET
Unatupa wapi karata yako?Saii si Nigeria na Cameroon???