Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #5,701
hewala...Leo nipo Cameroon
Hahaha 😂😂Hebu ngoja nikanawe maji ya baridi kwanza naona nishaanza kumix mafile kwa kichwa 🤠🤠🤠!
pambana kwa kweli mim Nipo NigeriaLeo nipo Cameroon
Nasimama na CameroonUnatupa wapi karata yako?
Hizi team zote hazijaonesha moto sana kwenye makundi. Ngoja tuone leo.Nasimama na Cameroon
Yeah namie napata wasiwasi ngoja tuoneHizi team zote hazijaonesha moto sana kwenye makundi. Ngoja tuone leo.
Ngoja tuonepambana kwa kweli mim Nipo Nigeria
Ngoja wakushangazeCameroon safari imeivaa
Ache ale mbao tuAya sasa wachambuz Jf tumerud Kwa mara nyingne tena kuutazama mtanange huu Kwa mara nyingne tena
Naona Onana kapigwa sub