Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Huyu kocha Leo akipigwa na kibarua ndio kitaishia hapa maana tunajuana waafrika sio wavumilivuHuyu kocha wa Cameroon namchanganya nayule wa Senegal wanafanana fulani hivi
Yaani goli halitafutwi kabisaMichezaj inatumia nguvu nyng hakuna hata ladha za Akina za kina DALA na MABULULU
Nigeria matapeli watakua walimdalaliaNikisema Osimhen ni mchezaji wa kawaida nitakuwa nakosea. Toka nimeanza kumfuatilia, ukiacha highlights zake za Youtube bado hajanishtua.
Habib Kyombo angekuwa na juhudi, bahati na connection hana tofauti na huyu jamaa.
Kweli aisee, Mara nyingi maamuzi hubadilikaYan ukiona refa kaenda kwny monitor maamuz ya mwanzo yana asilimia karbia 90 kubadilika.
Kama Wajita [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi ili kumjua Mnigeria una angalia tu kichwa ?
Mfano kichwa cha kipa wa Nigeria ni very common kwa Wanaija
Sometimes mchezaj anahitaj system kuweza kucheza na kushine sometimes mchezaj anahitaj kucheza na watu wny akil Timamu kuweza na yy kua na akil Timamu.Nikisema Osimhen ni mchezaji wa kawaida nitakuwa nakosea. Toka nimeanza kumfuatilia, ukiacha highlights zake za Youtube bado hajanishtua.
Habib Kyombo angekuwa na juhudi, bahati na connection hana tofauti na huyu jamaa.
Yani na wanavopelekewa moto sasaHuyu kocha Leo akipigwa na kibarua ndio kitaishia hapa maana tunajuana waafrika sio wavumilivu
Etoo aliwasimanga Sana...Walisemwa vibaya sana na Boss wao Etoo baada ya kula chuma 3 kutoka kwa Senegal [emoji1211]
Ni kama Wa Zanzibar wengi wao vichwa vyao Bapa🤣Hivi ili kumjua Mnigeria una angalia tu kichwa ?
Mfano kichwa cha kipa wa Nigeria ni very common kwa Wanaija
wew una mchezo kweli leo osimeh unakuja kulinganisha uchafu huo wachezaji wako wa timu ya taifa wanaocheza ligi za ulaya wameshindwa kufunga hata goli moja wameondoka na pumbu zao tu osimeh had mda huu ashafunga Goli moja unakuja kulinganisha uchafu wa mtibwa sjui kwanza msimu uliopita uliangalia ata mechi moja ya Seria A ya Napoli maana kwa maelekezo yako inaonekana hata huwaj tazama mechi yake hata mojaNikisema Osimhen ni mchezaji wa kawaida nitakuwa nakosea? Toka nimeanza kumfuatilia, ukiacha highlights zake za Youtube bado hajanishtua.
Habib Kyombo angekuwa na juhudi, bahati na connection hana tofauti na huyu jamaa.
wakatae na hili, mm hizi off side za VAR siziaminiNgoja niwe mkweli. Ile offside ya goli lililokataliwa imenifanya nijihisi sijui kila kitu kwenye mpira.