Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Nilikuambia weka mkeka wako😂😂😂Goalllll🤸🤸🤸🤸
Bora utolewe kwa penatiDah magoli ya namna hii yanauma sana kwa dakika hizi
KabeeeeeesaWafunge virago 🤣🤣🤣
Achinjwe tunywe supuHa ha ha yule paka leo kaongopa...
Hawa jamaa sio wabaya kumbeBEST LOOSER anasonga mbele.
Ila Angelika hata nusu fainali.Moja kati ya star wa mashindano ya mwaka huu ni Nsue…Atakumbukwa