2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Marais ni kama huwa wana laana, hivi si juzi nimesikia Rais wa Equatorial Guinea aliwapongeza wachezaji wake na kuwapa Pesa leo wamefungasha virago,

Itoshe kusema marais wa Africa waache kutia mikono yao kwenye masuala ya kimichezo maana ni kama wana laana,

Juzi kabla ya mechi na Tanzania Rais wa Drc Congo alienda Ivory coast kuongea na wachezaji wa Drc Congo........Leo Congo pia anatoka.
 
Back
Top Bottom