Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira hauna adabu,Hawa jamaa hawakustahili kutoka mapsema.Dah!
FT
Equatorial Guinea 0 - 1 Guinea.
Timu ya kwanza Kutoka kwa Best Loser kuingia robo
Lazima wazomewe maana walimpiga Mwenyeji 4. Na mashabiki wengi hapo ni wenyeji.Na ndiyo Mashabiki waliojaza uwanja...
Wanaishangilia Guinea..
EQG wakizomewa vibaya...
Mi nimefurahiMpira una maumivu nyieeeee...
Hawa wakaka wa EQG wameniliza kwakweli....
Huwa inatokea…anayewabeba kuna siku nae anawaangusha…ndio footballCaptain wao aliwabeba na ndo kawa cost leo watoke pia.
Unaona wanalia wachezaj wao.kwa sbb wametolewa kikatili sana yan dkk ya mwsh na mtu kajitwisha ndoo hapo hapo.
Hii kawaida yetu waafrika Adui yako muombee mabayaNa ndiyo Mashabiki waliojaza uwanja...
Wanaishangilia Guinea..
EQG wakizomewa vibaya...
Tulitamani sana iwe hivyo lakini daahIla Angelika hata nusu fainali.
We! Hawa jamaa mbona wameupiga mwingi sana mpaka kufika 16 bora,au una bifu nao?Ila binafsi nimefurahi walivyotolewa...
Sisi ni pipo tutakutana…Yaliwapiga Ivory coast kama ngoma na mpira wao wa janjajanja wa kuvizia
Leo wamepata wababe wao
Pole madam shemeji ajafika mpaka sasa?Mpira una maumivu nyieeeee...
Hawa wakaka wa EQG wameniliza kwakweli....
Na ndiyo Mashabiki waliojaza uwanja...
Wanaishangilia Guinea..
EQG wakizomewa vibaya...
Kulia kunasaidia Nini badala ya kupambanaHalafu mnasema mashabiki mna umia kuliko wachezaji?? Acheni upuuzi ona wanaume walivyoumia hapo wote wamelia..ila Nsue mbona anatafuna tuu big Giiii???
View attachment 2886124
Mkuu unamfahamu huyu Paka?
Jana aliwarabiria Nigeria na Angola ikawa kweli.
Leo amewapa Equatorial Guinea na Congo DR.
View attachment 2886131
View attachment 2886126
Mungu Ibariki Afrika.
Mungu Ibariki Afrika Mashariki.
Mungu Ibariki DRC.
kwa ajili yetu na Afrika Mashariki yote.
Amen!!
Tuko pamoja mkuu🙏🏿tukutane baadae nikiwa nashabikia Banyamulenge