2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Waliokuwa wanamlalamikia refa kwenye mechi ya Simba na Singida kuhusu muda naona washapata majibu kupitia hii mechi
Tangu siku ile nilisema kuwa waliokuwa wanalalamikia dakika, hawajui mpira na ni WAJINGA wa kutupwa.

Ile haikuwa point ya kulalamikia kabisa.
 
Back
Top Bottom