2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

IMG_9375.jpeg
 
Hii ndiyo Egypt iliyoifunga Tanzania mbili sifuri au ni nyingine?
Mbona ina struggle sana ??
Nafikiri kocha wa Tanzania ni bomu kabisa hata wachezaji aliokuwa nao hajui kuwatumia, hajui kupanga lineup , Hana mfumo unaoleweka, hajui kuchagua wachezaji.
Mozambique na Equatorial Guinea wameonyesha namna ya kucheza na timu zenye majina makubwa .
 
Hii ndiyo Egypt iliyoifunga Tanzania mbili sifuri au ni nyingine?
Mbona ina struggle sana ??
Nafikiri kocha wa Tanzania ni bomu kabisa hata wachezaji aliokuwa nao hajui kuwatumia, hajui kupanga lineup , Hana mfumo unaoleweka, hajui kuchagua wachezaji.
Mozambique na Equatorial Guinea wameonyesha na ya kucheza na timu zenye majina makubwa .
Wew na Timu lako la kina kibwana shomari na mzamiru mtafanyanin msumbuji mara kibao alikua anatubemenda tena apo apo taifa
 
Back
Top Bottom