The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Anafanya vzuri kama alivyokuwa hapa?Kule Misri anafanya vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafanya vzuri kama alivyokuwa hapa?Kule Misri anafanya vizuri
Mie nimeona refa ndio anatoa sio kocha [emoji1787][emoji1787]Poti vipi huoni anatoa tuu
aliwika kwenye Ligi ambalo mabeki wake wanashindia ugali na majani ya maboga alafu akajiona Mwamba, haya sasa apambane na Wandewa hao.Sioni ajabu mayele kutowika kama huku, bongo tunadanganyana tu hakuna mpira
tena sana; ni tegemeo kubwa la Pyramids. Kama Maeyelle angekuwa uwanjani sasa hivi mpira ungekuwa umekwishaKule Misri anafanya vizuri
Kwa kipi hichotena sana; ni tegemeo kubwa la Pyramids. Kama Maeyelle angekuwa uwanjani sasa hivi mpira ungekuwa umekwisha
🤣🤣 na bosi nae ajipe ruhusa, au sio poti?Tupewe ruhusa kazini aisee...
Farao kipa wao ni JiniWakienda matuta Banyamulenge anakufa
Wakati mechi zote za makundi zilikuwa na 4, tena 2 mechi za Karia FCTangu waanze mechi za mtoano jana, tayari kuna kadi nyekundu 3
Masaa matatu nadhani.Hivi hawa Ivory Cost tunapishana Masaa Mangapi? Naona Wao kama bado Jioni
Mi nishajivunja Hapa, Maana najua baadae nitaamka Saa 4Tupewe ruhusa kazini aisee...
nafasi nyingi wanapotezaSijui bacongo banafeli wapi kumaliza hii mechi