2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Wakienda matuta Congo wamekwisha, huyo Kipa wa Misri Gabaski Afcon iliyopita ndo aliongoza kudaka penati nyingi kuliko kipa yoyote.... Alidaka Penati za Uwanjani 3 katka mechi tofauti tofauti na zile za Matuta alitoa penati 2, Kwahyo jumla alidaka penati 5 katika mechi zote.

Msiseme sijawaambia Kuhusu Huyo kipa.
 
Wakienda matuta Congo wamekwisha, huyo Kipa wa Misri Gabaski Afcon iliyopita ndo aliongoza kudaka penati nyingi kuliko kipa yoyote.... Alidaka Penati za Uwanjani 3 katka mechi tofauti tofauti na zile za Matuta alitoa penati 2, Kwahyo jumla alitoa penati 5 katika mechi zote.

Msiseme sijawaambia Kuhusu Huyo kipa.
Kazi ipo kwa Congo
 
Back
Top Bottom