Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Mie nimeona refa ndio anatoa sio kocha [emoji1787][emoji1787]
Mimi nimelala bandani kwangu naamka namenya viazi vya chipsiMi nishajivunja Hapa, Maana najua baadae nitaamka Saa 4
WashachokaHawa jamaa wanapoteza muda sasa.
😂😂😂sio kesho ni leo.Halafu kesho inabidi ufike kazini asubuhi tena mapema kabisa.
Kazi ipo kwa CongoWakienda matuta Congo wamekwisha, huyo Kipa wa Misri Gabaski Afcon iliyopita ndo aliongoza kudaka penati nyingi kuliko kipa yoyote.... Alidaka Penati za Uwanjani 3 katka mechi tofauti tofauti na zile za Matuta alitoa penati 2, Kwahyo jumla alitoa penati 5 katika mechi zote.
Msiseme sijawaambia Kuhusu Huyo kipa.
Watapigwa hadi wapoteane.Kesho Ivory Coast wasahau extra time, watachakaa ndani ya dakika 90 wakome kumuacha Profesa Pacome.
unaangalia ball?Wewe endelea kusoma fiction story tu hii ni nafasi kwa Congo
Kama kawaidaunaangalia ball?
Sio kweliWakiingia penati mkongo ameisha