Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naanza kukuelewa.Zinaweza kupigwa penalty mpaka 10 hapa kwa upuuzi wa hizi timu.
Ova
Hta mm naonaaa hawa wameamua kutukesheshaZinaweza kupigwa penalty mpaka 10 hapa kwa upuuzi wa hizi timu.
Ova
GABOKSI 😂😂😂😂Gabasku Gabasku gaboksi wapi wewe anatoboka toboka tu leo
GABOKSI anatoboka toboka leoGabaski anatuangusha
Ile alikua anaitoa ileKongo kipa hana utulivu
Kwelihuyu gabaksi mweupe sana sioni maajabu yake bora diarra angekuwa katoa mbili tayari
Shemeji hayupo?😂😂🤣Hizi pressure za nini nimejitakia lakini? Dah