Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Congo gooooal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajitahid kuotea upande lkn bado hajabahatika kudakaKongo kipa hana utulivu
Makipa ni wabovu sana, ndiyo tatizo.Hta mm naonaaa hawa wameamua kutukeshesha
GABOKSI leo 😂😂😂Gabaski anatuangusha
Amen[emoji1488]kombe la dunia la mwaka 2026 tukijaaliwa uzima kutakua na kazi sana ya kukesha.
just imagine mechi zitaanza saa 7 usiku, mpaka wamalize kupiga penati kama leo game inaisha saa 10 alfajiri.
baada ya hapo unaenda kuoga unavaa nguo kazini.
kikubwa uzima panapo majaaliwa.
😂😂😂homeboy wako uongo?Mbemba home boy kabisa
hawa jamaa kwa penati wapo vizuri syo kama ufaransa nation teamHii ya 6 congo anakosa
Niko nae hapa.Shemeji hayupo?😂😂🤣
GABOKSI anatoboka toboka toboka toboka toboka 😂Gabaski anatuangusha
HaiwezekaniINONGA ANACHOMA