2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

kombe la dunia la mwaka 2026 tukijaaliwa uzima kutakua na kazi sana ya kukesha.

just imagine mechi zitaanza saa 7 usiku, mpaka wamalize kupiga penati kama leo game inaisha saa 10 alfajiri.

baada ya hapo unaenda kuoga unavaa nguo kazini.

kikubwa uzima panapo majaaliwa.
Amen[emoji1488]
 
Back
Top Bottom