Alikuwepo nacho kale kakichupa kenye majina ila ndio kalimuangusha hakuambulia kitu.Gabaski hakutumia kale kauchawi kake
Hiki hapa[emoji23][emoji1787][emoji1787]Alikuwepo nacho kale kakichupa kenye majina ila ndio kalimuangusha hakuambulia kitu.
😂😂 Kilimpaga sana umaarufu hicho.Hiki hapa[emoji23][emoji1787][emoji1787]View attachment 2887095
Leo ganda la ndizi, nashauri mashabiki wa ivory coast waingie na na fimbo uwanjaniLeo kazi ipo
Mbonq unamsahau HAKIMI RAISI WA WANAUME, MMEANZA KUWACHUKULIA POA WAARABUNigeria hakuna kitu? acha masihara
Rais wao atuliage tu nyumbani leo mana kile alichokutana nacho siku ile toka kwa Equatorial Guinea sio kidogo eti. 😅Leo ganda la ndizi, nashauri mashabiki wa ivory coast waingie na na fimbo uwanjani
Jana kimemtokea puani[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Kilimpaga sana umaarufu hicho.
Naskia alilia sana [emoji24][emoji23][emoji1787]Rais wao atuliage tu nyumbani leo mana kile alichokutana nacho siku ile toka kwa Equatorial Guinea sio kidogo eti. [emoji28]
Yule asipoenda goli zitapungua, ila nasisitiza fimbo kila mtu awe nayo wasitoke uwanjani haiwezekani wanaume mnakula mnashiba mnaenda kucheza rede na kutia aibu taifa😂😂 leo ni fimbo tuRais wao atuliage tu nyumbani leo mana kile alichokutana nacho siku ile toka kwa Equatorial Guinea sio kidogo eti. 😅
Ila wanabore sana yaani kama Pepe alipoteza minafasi kibaao.Yule asipoenda goli zitapungua, ila nasisitiza fimbo kila mtu awe nayo wasitoke uwanjani haiwezekani wanaume mnakula mnashiba mnaenda kucheza rede na kutia aibu taifa😂😂 leo ni fimbo tu
Maskini Babu wa watu. 😅😅Naskia alilia sana [emoji24][emoji23][emoji1787]
Kabisa akaishia kuangukia kulia mwanzo mwisho. 😂😂Jana kimemtokea puani[emoji23][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji23][emoji23]Kabisa akaishia kuangukia kulia mwanzo mwisho. [emoji23][emoji23]
sijui alitokea mlango gani? Hawakumtoa na bajaji kweli?Naskia alilia sana [emoji24][emoji23][emoji1787]
Yap drogba alipata ...akamcheka etoo kinafkiAngerudia wa kwanza. Imewahi kutokea hivyo Cameroon vs. Ivory Coast. Wote waliisha wakaanza kurudia. Wakati wa kurudia kama sikosei Etoo alikosa tuta.
Sema makipa wa jana wote hamna kitu upande wa penalties.[emoji1787][emoji23][emoji23]
Exactly ila wapigaji matuta walikuwa mafundii sanaSema makipa wa jana wote hamna kitu upande wa penalties.
Kabisa Mkuu na hata Gabaksi ni ile basi tu lakini alipiga vizuri ile penalti yake.Exactly ila wapigaji matuta walikuwa mafundii sana
[emoji1787][emoji23][emoji23]sijui alitokea mlango gani? Hawakumtoa na bajaji kweli?
Pale alikosa umakini kidogo tuKabisa Mkuu na hata Gabaksi ni ile basi tu lakini alipiga vizuri ile penalti yake.